Pate acha inajulikana kama pete acha, tere, gote au gwete ni chakula cha Nigeria kutokea ukanda wa juu wa Nchi hiyo. Kinaandaliwa na acha, mchele na mahindi.[1]


Marejeo hariri