Paul Newman (26 Januari 1925 - 26 Septemba 2008) alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Newman alizaliwa mjini Shaker Heights, Ohio, Marekani. Alifahamika sana kwa kucheza katika filamu ya Butch Cassidy and the Sundance Kid, ilichezwa mnamo mwaka wa 1969. Humo alicheza kama Butch Cassidy. Newman alipata kumwoa mwigizaji filamu mwenzake Bi. Joanne Woodward.

Paul Newman

Paul Newman mnamo 1958
Amezaliwa Paul Leonard Newman
26 Januari 1925 (1925-01-26) (umri 99)
Cleveland, Ohio
Amekufa 26 Septemba 2008
Westport, Connecticut, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1952 - 2007
Ndoa Jackie Witte (1949–1958)
Joanne Woodward (1958–2008)

Viungo vya nje hariri

Paul Newman at the Internet Movie Database

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Newman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.