Paulina Oduro

Mwanamuziki na mwigizaji wa ghana, mwanamke mrefu zaidi nchini Ghana

Paulina Oduro ni mwanamuziki, mwigizaji wa Ghana , [1] pia ni mwamuzi wa maonyesho ya vipaji na mwigizaji wa michezo ya jukwaani .[2] ni mrefu wa futi 7 na inchi 8, ndiye mwanamke mrefu Ghana.

Paulina Oduro
Amezaliwa Ghana
Kazi yake Mwigizaji
Watoto Raymond Charles's Jnr


Maisha ya awali hariri

Paulina Oduro alizaliwa Sekondi-Takoradi katika Mkoa wa Magharibi wa Ghana. alipokua na miaka saba alihamia Japan kwa miaka miwili na baba yake mwanadiplomasia na mama yake, na kuchukua masomo ya kucheza piano hadi alipo fikisha umri wa miaka tisa . [3] alisafiri kuelekea London na wazazi wake alipokua na miaka 10, na kushiriki katika michezo mingi ya shule, kuigiza na kucheza.[1] Alikua muuguzi aliyehitimu muongo mmoja baadaye, lakini akiwa na umri wa miaka 21 aliacha taaluma hii na kuendelea na sanaa ya uigizaji na akaanza kuimba kitaalamu.[3]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Paulina Oduro - Astride Music And Movies", Peacefmonline.com, 17 July 2012. Retrieved on 28 July 2016. 
  2. "Paulina Oduro, Highlife Artist". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 23 April 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. 3.0 3.1 Kwadwo (7 May 2007). "Paulina Oduro to perform in London". www.ghanabase.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-21. Iliwekwa mnamo 28 July 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paulina Oduro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.