Pauline Hammarlund

'

Pauline Louise Hammarlund
Amezaliwa7 mei 1994
Kazi yakemchezaji wa soka

Pauline Louise Hammarlund (aliyezaliwa 7 Mei 1994)[1] ni mshambuliaji wa soka wa Kiswidi ambaye kwa sasa anacheza kwa Fiorentina katika Serie A ya Italia. Awali alikuwa akiichezea Linköpings FC, Piteå IF, na BK Häcken.[2]

Marejeo hariri

  1. "Player Profile". svenskfotboll.se. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-09-03. Iliwekwa mnamo 2024-05-07. 
  2. http://www.linkopingfc.com/index.php?playerid=105
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pauline Hammarlund kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.