Pavel Alekseyevich Cherenkov (28 Julai 19046 Januari 1990) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Urusi. Aligundua mnururisho wa Cherenkov unaotokea elektroni ikitembea kwa mwendo mkali zaidi kuliko mwendo wa nuru. Mwaka wa 1958, pamoja na Igor Tamm na Ilya Frank alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Pavel Cherenkov


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pavel Cherenkov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.