Paweł Fajdek (alizaliwa 4 Juni 1989) ni mrusha nyundo wa Poland mwenye mrusho bora wa mita 83.93 (9 Agosti 2015, Janusz Kosocinski Memorial huko Scezecin). Ni Bingwa wa Dunia mara nne katika mchezo huu.

Paweł Fajdek mnamo 2015
Paweł Fajdek mnamo 2015

Marejeo hariri