Pembe kuu (ing. reflex angle) ni pembe ambayo kiwango chake ni kubwa kuliko nyuzi 180° lakini pungufu ya nyuzi 360°.


Mifano hariri

Viungo vya Nje hariri

Reflex angles on math-is-fun