Perfect Chikwende (alizaliwa Uganda, 1 Januari 1986) ni mchezaji wa soka ambaye amekuwa mchango mzuri katika timu yake ya Simba S.C.. Ametunukiwa tuzo nyingi katika ligi ya Tanzania, amekuwa kinara wa magoli.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Perfect Chikwende kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.