Peter Mahamudu Msolla

Peter Mahamudu Msolla (amezaliwa tar. 6 Mei 1945) ni mbunge wa jimbo la Kilolo katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Peter Msolla

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Peter Mahamudu Msolla". 18 Februari 2008. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-18. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.