Peter Brian Medawar (28 Februari 19152 Oktoba 1987) alikuwa mwanazuolojia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alichunguza uhamishaji wa tishu. Mwaka wa 1960, pamoja na Frank Macfarlane Burnet alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba. Mwaka wa 1965 alipewa cheo cha "Sir".

Manazuolojia Peter Medawar
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Medawar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.