Francis Peyton Rous (5 Oktoba 187916 Februari 1970) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza virusi vinavyosababisha kensa. Mwaka wa 1966, pamoja na Charles Huggins alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peyton Rous kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.