Phoebe Banura

Mchezaji wa mpira Uganda

Phoebe Banura alizaliwa kati ya 1994 na 1995 ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uganda. Anachezea timu ya wanawake nafasi ya beki katika timu ya taifa nchini

Phoebe banura
Amezaliwa
Uganda
Nchi Uganda
Kazi yake Mchezaji wa mpira wa miguu

Marejeo.

Jamii.