Pico de Orizaba au Citlatépetl ni mlima mrefu zaidi wa Meksiko katika Amerika ya Kaskazini. Una asili ya volikano.

Pico de Orizaba

Una kimo cha mita 5,610 juu ya UB.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pico de Orizaba kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.