Plasido na Sigisbati

Plasido na Sigisbati (walifariki Disentis, leo nchini Uswisi, karne ya 8) walikuwa wamonaki Wakolumbani.

Wat. Plasido na Sigisbati.

Sigisbati alikuwa mfuasi wa Kolumbani huko Luxeil akahamia Raetia alipoanzisha monasteri[1] ambayo mwenyeji Plasido akajiunga nayo na hatimaye alifia dini huko [2].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu. Papa Pius X alithibitisha heshima hiyo tarehe 6 Desemba 1905 [3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Julai[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Iso Müller, BSS, vol. XI (1968), col. 1041.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/61730
  3. Index ac status causarum (1999), p. 458.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.