Platini ni elementi. Namba atomia yake ni 78, uzani atomia ni 195.084. Katika mazingira ya kawaida ni metali adimu ngumu yenye rangi nyeupe ya kijivu. Alama yake ni Pt.

Platini
Jina la Elementi Platini
Alama Pt
Namba atomia 78
Uzani atomia 195,084 u
Valensi 2, 8, 18, 32, 17, 1
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 2045 K (1772 °C)
Kiwango cha kuchemka 4100 K (3827 °C)

Platini huyeyuka kwa 2041.4 K (1768.3 °C) na kuchemka kwa 4098 K (3825 °C).

Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Platini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.