Poloo ni vitafunwa vya Ghana ambavyo vinavyoandaliwa kwa unga wa nazi wa kukaanga au biskuti ya kukaanga.[1][2]

Picha ya vitafunwa aina ya Poloo
Picha ya vitafunwa aina ya Poloo

Viungo hariri

Viungo vinavyotumika katika utayarishaji.[3]

Unga.

Nazi .

Sukari.

Chumvi.

Mafuta ya mboga.

Maji.

Marejeo hariri

  1. https://en.wikipedia.org/wiki/Poloo#cite_ref-1
  2. https://en.wikipedia.org/wiki/Poloo#cite_ref-2
  3. https://en.wikipedia.org/wiki/Poloo#cite_ref-:0_3-0