Pomerania (Pomorze, Pommern, Pòmòrskô) ni eneo la kihistoria Kusini kwa Bahari ya Baltiki.

Ngao ya Pomerania.
Mgawanyo wa Pomerania.

Kwa sasa imegawanywa kati ya nchi za Polandi na Ujerumani.

Miji mikubwa ni Gdańsk na Szczecin.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Utamaduni na historia hariri

Ramani hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pomerania kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.