Popocatrpetl ni volkeno hai pia mlima mkubwa wa pili nchini Meksiko.

Mlima Popocatepetl.

Kwa lugha ya Kiazteki "Popocatepetl" inamaanisha "mlima unaotoa moshi".

Ina kimo cha mita 5,462 juu ya UB, hivyo ni volkeno kubwa ya pili katika Amerika ya Kaskazini.

Safari iliyopita ililipuka tarehe 21 Desemba 1994 baada ya kukaa kimya kwa miaka 50.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Popocatepetl kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.