Prince Edward Island








Prince Edward Island (kwa Kifaransa: Île-du-Prince-Édouard; kwa Kigaeli: Eilean a’ Phrionnsa; kwa Kiswahili: Kisiwa cha Prince Edward) ni kisiwa kidogo katika Ghuba ya St. Lawrence na jimbo la Kanada upande wa mashariki ya nchi.

Prince Edward Island

Bendera

Nembo
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Charlottetown
Eneo
 - Jumla 53,683 km²
Tovuti:  http://www.gov.pe.ca/
Ramani ya Prince Edward Island

Prince Edward Island ni moja kati ya majimbo 3 ya baharini (kwa Kiingereza: Maritime provinces) ya Kanada. Kiko upande wa kaskazini wa Nova Scotia na mashariki wa New Brunswick.

Mji mkuu na mji mkubwa ni Charlottetown.

Una eneo la km² 53,683.56. Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 140,402.

Lugha rasmi ni Kiingereza (de facto).

Viungo vya Nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Prince Edward Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.