Professor X (Kiswahili: Profesa X, Charles Francis Xavier) ni mwanazalishi wa X-Men na mkuu wa Xavier Institute for Higher Learning. Professor X ana uwezo wa ajabu wa kupeleka au kupokea fikira bila kusema kwa wala kuashiria, pia inajulikana kama telepathi.

Professor X (Profesa X)
Maelezo ya chapisho
MchapishajiMarvel Comics
Kujitokeza kwanza The X-Men #1 (Sep. 1963)
Waumbaji Stan Lee
Jack Kirby
Maelezo
Jina halisiCharles Francis Xavier
SpishiMutanti
UshirikianoX-Men
Illuminati
Genoshan Excalibur
Cadre K
Brotherhood of Mutants
Shi'ar Imperium
Starjammers
The Twelve
Defenders
Lakabu mashuhuriOnslaught, Consort-Royal, Founder, X, Warlord, Entity
UwezoTelepathi
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Professor X kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.