Rabiu Ali (alizaliwa 27 Septemba 1980) ni kiungo wa kandanda wa Nigeria ambaye anachezea klabu ya Kano Pillars F.C. ambaye pia ndiye nahodha wa sasa wa klabu ya Kano Pillars F.C. na anachukuliwa kuwa mmoja ya wachezaji bora kabisa wa klabu na mmoja wa wachezaji bora katika Ligi ya Nigeria Professionale.[1]

Rabiu Ali

Ushiriki Kimataifa hariri

Magoli Kimataifa Idadi Ya Magoli na matokeo Nigeria [2]

Heshima hariri

Kano Pillars Mshindi

  • Ligi Kuu ya Nigeria (3): 2011–12, 2012–13, 2013–14
  • Kombe la FA la Nigeria (1)

Marejeo hariri

  1. RABIU ALI: Marriage has been good to me thenationonlpineng.net
  2. "Ali, Rabiu". National Football Teams. Iliwekwa mnamo 1 February 2018.  Check date values in: |accessdate= (help)

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rabiu Ali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.