Rachid Belabed (alizaliwa tarehe 20 Oktoba 1980 jijini Brussels) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Moroko mzaliwa wa Ubelgiji, anayechezea klabu ya Luxembourg 1. Division ya SC Steinfort.

Maisha hariri

Belabed alizaliwa huko Ubelgiji na baba Mmoroko na mama kutoka Algeria.

Mwaka 2004, Belabed alimshambulia Claude Moniquet, mwandishi wa habari.[1] Belabed alimtuhumu Moniquet kuwa mbaguzi na adui wa Uislamu.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachid Belabed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.