Rafig Huseynov (amezaliwa Mei 16, 1988[1]) ni mwanamiereka wa Azerbaijan[2], alimshinda Mhungaria Péter Bácsi kwa ajili ya medali ya dhahabu kwenye daraja lake husika kwenye michuano ya miereka ya ulaya 2011 jijini Dortmund, Ujerumani.

Mwanamiereka Rafig Huseynov
Mwanamiereka Rafig Huseynov

Alishinda medali za shaba kwenye michezo ya olimpiki majira ya joto 2020 jijii Tokyo, Japani[3][4]

Marejeo hariri

  1. "Rafig HUSEYNOV". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-17. 
  2. "Greco-roman wrestling - Rafig Huseynov (Azerbaijan)". www.the-sports.org. Iliwekwa mnamo 2021-12-17. 
  3. "Armenia and Romania book multiple Tokyo 2020 places at UWW qualifier". www.insidethegames.biz. 1620512940. Iliwekwa mnamo 2021-12-17.  Check date values in: |date= (help)
  4. IOC (2018-04-23). "Tokyo 2020 Summer Olympics - Athletes, Medals & Results". Olympics.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-17.