Ragnar Arthur Granit (30 Oktoba 190012 Machi 1991) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uswidi. Amezaliwa nchini Ufini lakini. Hasa alichunguza mabadiliko ya umeme ndani ya jicho. Mwaka wa 1967, pamoja na George Wald na Haldan Hartline alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Ragnar Granit
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ragnar Granit kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.