Raimond Aumann (amezaliwa 12 Oktoba 1963) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ujerumani. Alikuwa golikipa wa Bundesliga kati ya mwaka 1982 na 1994. Kwa miaka miwili ya mwanzo alikuwa golikipa msaidizi wa FC Bayern Munich (wa kwanza kuchaguliwa alikuwa Bw. Jean-Marie Pfaff).

Raimond Aumann
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaUjerumani Hariri
Nchi anayoitumikiaUjerumani Hariri
Jina katika lugha mamaRaimond Aumann Hariri
Jina halisiRaimond Hariri
Jina la familiaAumann Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa12 Oktoba 1963 Hariri
Mahali alipozaliwaAugsburg Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKijerumani Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timugoalkeeper Hariri
Muda wa kazi1982 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki1990 FIFA World Cup Hariri
LigiBundesliga Hariri

Mnamo mwaka wa 1984 akaja kuwa namba moja kwa mara ya kwanza mpaka alipokuja kuumia mnamo mwezi Novemba katika mwaka wa 1985. Pale Bw. Jean-Marie Pfaff alipoondoka katika kikosi cha Bayern Munich mnamo mwaka 1988, Raimond Aumann akawa ndiyo golikipa wa kwanza. Raimond pia alifirika kuwa ndiyo golikipa bora wa Ujerumani kwa kipindi hicho.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raimond Aumann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.