Raju Pariyar (alizaliwa 30 Juni 1980) ni mwimbaji kutoka Nepal. Alitunga nyimbo zaidi ya 13,000.[1]

Maisha ya awali hariri

Pariyar alizaliwa katika kijiji cha Gausahar ambacho kipo katika Wilaya ya Lamjung, na wazazi wake Mangal Singh Pariyar na Santa Maya Pariyar. Alizaliwa tarehe 30 Juni 1980 katika kalenda ya Gregori.

Mnamo Septemba 2015 Pariyar alikutana na Bishnu Pariyar kwenye ndege iliyokuwa ikisafiri kutoka Kathmandu kwenda Mumbai. Bishnu ni mchungaji Mkristo kutoka Bharatpur, alizungumza na Pariyar alipokuwa safarini na alipendezwa naye. Mwezi mmoja baadaye Pariyar na watoto wake wawili walisafiri hadi kwenye kanisa la Bishnu huko Bharatpur wakabadilishwa kuwa Wakristo.[2][3]

Marejeo hariri

  1. Dorcas Cheng-Tozun (13 October 2015). "'Justin Bieber of Nepal' Converts to Christianity". Christianity Today. Iliwekwa mnamo 8 November 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Awale, Sonia (12-18 May 2017). "It's Party Time on the Internet". Nepali Times. Iliwekwa mnamo 9 November 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. Gurung, Aash (14 December 2015). "Pariyar lights up Lamjung Mahotsav". The Kathmandu Post. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-10. Iliwekwa mnamo 9 November 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raju Pariyar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.