Ralph Johnson Bunche (7 Agosti 19049 Desemba 1971) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1950 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani kwa vile aliwasaidia Waarabu na Waisraeli kusimamisha vita yao kwa muda kule Palestina mwaka wa 1949.

Ralph Bunche (1951)


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ralph Bunche kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.