Ramy Sabry (mwimbaji)

Ramy Sabry ( pia huandikwa Rami Sabry ; alizaliwa 15 Machi, 1978) ni mwimbaji na mwigizaji wa nchini Misri. [1] [2]

Kazi na Maisha ya binafsi hariri

Baada ya kuhitimu kutoka chuo cha muziki nchini Misri, tayari alikuwa ameanza kazi yake ya muziki kwa kuwatungia waimbaji wachache mashuhuri. Video tatu zilipigwa, mbili kati yake ziliongozwa na Tarek Alarian na moja na Moussa Eissa. Baada ya albamu Iliyozinduliwa, Ramy Sabry aliendelea kushiriki katika matukio mengi ya muziki kama vile: tamasha za moja kwa moja (live concerts), prom za shule na sherehe za chuo kikuu. Hatimaye, Ramy alifanikiwa na sasa amekuwa mwimbaji maarufu nchini Misri.

Marejeo hariri

  1. "Listen: four new nasheeds to celebrate Ramadan". The National. The National. 31 May 2018. Iliwekwa mnamo 23 October 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Ramy Sabry to perform in El Alamein City". Egypt Today. Egypt Today. 13 July 2018. Iliwekwa mnamo 23 October 2018.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ramy Sabry (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.