Richard Adolf Zsigmondy

(Elekezwa kutoka Richard Zsigmondy)

Richard Zsigmondy (1 Aprili 186523 Septemba 1929) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza koloidi. Mwaka wa 1925 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Richard Zsigmondy
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Adolf Zsigmondy kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.