Rie Azami (alizaliwa 11 Januari 1989) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae alicheza kama beki wa kati kwenye klabu ya wanawake ya Chifure AS Elfen Saitama. Kwasasa ni kocha msaidizi wa timu ya taifa ya wanawake ya Japani.[1]

Marejeo hariri

  1. List of match in 2013, 2015 at Japan Football Association
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rie Azami kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.