Rion Ishikawa (alizaliwa 4 Julai 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama beki wa timu ya taifa ya wanawake ya Japani. Kwasasa anacheza kwenye klabu ya Mitsubishi Heavy Industries Urawa Reds Ladies.[1]

Marejeo hariri

  1. "Scoresheet". weleague.jp. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rion Ishikawa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.