Robert Howard Grubbs (27 Februari 1942 - Desemba 19 2021) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mambo ya usanisi.

Robert Grubbs

Mwaka wa 2005, pamoja na Richard Schrock na Yves Chauvin alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Grubbs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.