Robert Coleman Richardson (amezaliwa 26 Juni 1937) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza elementi ya heli. Mwaka wa 1996, pamoja na David Lee na Doug Osheroff alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Robert Coleman Richardson
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Richardson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.