Robert Schumann (Zwickau, Saxony, 8 Juni 1810 - 29 Julai 1856) alikuwa mtunzi maarufu wa sanaa mbalimbali kutoka Ujerumani. Aliishi wakati wa Romantic (zama za nyimbo maarufu za karne ya 18-19).

Robert Schumann.

Alisitisha mpango wake wa kuwa mpigakinanda katika kumbi kwa sababu ya jeraha alilokuwa nalo katika mkono. Alichapisha magazeti ya muziki na kuandika makala chungu nzima zinazohusu miziki yote aliyotunga na kuimba.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons

Nakala ya miziki yake hariri


Rekodi zake na baadhi ya faili za MIDI hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Schumann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber