Ronny Coaches

Mwanamuziki wa Ghana

Ronnie Coaches (Alifariki 21 Novemba 2013), pia anajulikana kama Ronnie, alikuwa mwanamuziki mzaliwa wa Ghana na mwanachama wa kikundi cha muziki cha hiplife cha Buk Bak.[1]

Elimu hariri

Alipata elimu yake ya sekondari katika shule ya Datus Complex. Pia alikuwa na mafunzo ya kiufundi katika Accra Technical Training Centre (ATTC).

Maisha hariri

Ronnie alikufa 21 Novemba 2013 huko Korle Bu Teaching Hospital[1]

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 "Sad News: Roonie Coaches of Buk Bak Fame Is Dead!". Ghana Showbiz. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 24 November 2013. Iliwekwa mnamo 21 November 2013.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)