Rose Marie Mazzetta (amezaliwa tar. 15 Agosti 192328 Desemba 2017) alikuwa mwimbaji, mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.

Rose Marie

Marie, 2010
Amezaliwa New York City, New York, US
28 Desemba 2017 (umri 94)
Van Nuys, California, Marekani.
Kazi yake Mwigizaji, Mwimbaji, Mchekeshaji
Miaka ya kazi 1926–2017
Ndoa Bobby Guy (1946-1964)
Watoto 1

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rose Marie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.