Rosella Ayane

Mchezaji wa mpira wa mguu Moroko

Rosella Ayane ( amezaliwa 16 Machi 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Moroko ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Tottenham Hotspurs inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Moroko.[1][2] Ayane aliiwakilisha Uingereza katika mashindano ya walio na umri cha chini ya miaka 17 na 19 kabla ya kujumuishwa katika kiwango cha juu na Moroko.

Ayane akiwa na Morocco kwenye Kombe la Mataifa ya Afrika la Wanawake 2022

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rosella Ayane kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.