Roxie Albertha Roker (28 Agosti 1929 – 2 Desemba 1995) alikuwa mwigizaji Mmarekani, aliyejulikana zaidi kama Helen Willis katika tamthiliya ya futuhi ya televisheni The Jeffersons, mke wa mwanamume mweupe (mmoja wa wachumba wa kwanza wa mbari tofauti kwenye televisheni). Yeye ni mama wa mwanamuziki, Lenny Kravitz, nyanya wa mwigizaji, Zoë Kravitz na bintiamu wa Al Roker kutoka Today Show ya NBC.

Roxie Roker

Roker mwaka 2008
Amezaliwa Roxie Albertha Roker
(1929-08-28)Agosti 28, 1929
Miami, Florida, Marekani
Amekufa Desemba 2, 1995 (umri 66)
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1974-1995
Ndoa Sy Kravitz (1962–1985)