Rumi Utsugi (alizaliwa 5 Desemba 1988) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambay anacheza kama kiungo wa Tokyo Verdy Beleza. Aliwahi kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Reign FC na Montpellier. Utsugi alisaidia timu ya taifa kushinda Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2011.[1][2]

Marejeo hariri

  1. "Rumi Utsugi: une footballeuse japonaise à Montpellier", Suite101, 15 February 2011. Retrieved on 2024-04-30. Archived from the original on 2011-02-21. 
  2. "USA v Japan - as it happened". Guardian. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rumi Utsugi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.