"Run the Show" ni wimbo ulioimbwa na mwimbaji wa muziki wa pop/R&B Kat DeLuna. Wimbo unatoka katika albamu yake ya kwanza ya 9 Lives. Ulitolewa kimataifa ukiwa kama single ya pili kutoka katika albamu yake ya kwanza. Wakati toleo la albamu limetiwa sauti kutoka kwa Shaka Dee[1], toleo la single limeshirikisha rap mpya kutoka kwa Busta Rhymes. Ilipelekwa rasmi kwenye redio kubwa tarehe 15 Januari 2009.[2] Toleo la Kihispania limeshirikisha msanii wa reggaeton Don Omar.

“Run the Show”
“Run the Show” cover
Single ya Kat DeLuna akishirikiana na Busta Rhymes/Kat DeLuna akishirikiana na Don Omar
kutoka katika albamu ya 9 Lives (Konvict Music Edition)
Imetolewa Februari 5, 2008 (2008-02-05)
(Tazama historia ya kutolewa)
Muundo Digital download, CD single
Imerekodiwa 2007
Aina R&B, dancehall, hip hop, dance-pop, latin pop
Urefu 3:35 (toleo la Kiingereza)
Studio Epic Records
Mtunzi
Mwenendo wa single za Kat DeLuna
"Am I Dreaming"
(2007)
"Run the Show"
(2008)
"In the End"
(2008)
Mwenendo wa single za Busta Rhymes
"Watch Ya Mouth"
(2007)
"Run the Show"
(2008)
"We Made It"
(2008)
Mwenendo wa single za Don Omar
"Canción De Amor"
(2007)
"Run the Show"
(2008)
"Virtual Diva"
(2009)
Mtayarishaji RedOne; Akon (Exec.)

Kutolewa hariri

Wimbo ulianza kuzungushwa kwenye maredio ya Marekani katika juma la 5 Desemba–11 na kufikia nafasi ya 182 kwenye orodha ya nyimbo zinazopigwa sana katika maredio ya Marekani. Iliwahi kufika hadi nafasi ya 45.[3] Ilifikia z100 20 Desemba 2007, na imepokea mapigo ya haja. Wimbo uliingia nafasi ya #88 kwenye Pop 100 na #50, na kwenye Pop 100 Airplay. Wimbo ulitolewa dijitali nchini Marekani mnamo tar. 5 Februari 2008. Toleo la single la Kihispania lilitolewa baadaye kunako tar. 11 Machi 2008.

Kunako 17 Machi 2008, wimbo ulitolewa nchini Ufaransa.[4]

"Run The Show" kwa sasa unapatwa kupigwa sana kwenye televisheni ya Kiaustralia.

Mnamo 2 Juni 2008, single imeingia nafasi ya #41 kwenye chati za UK Singles Chart kwa kupakua peke yake. Kwa kipindi fulani umepatwa kupiga kawaida tu kwenye idhaa za muziki na vituo vya redio vya Uingereza, lakini wimbo umeanguka kufikia chati za kiwango cha juu zaidi ya 41 - hasa kutokana na ukosefu wa promosheni.

Wimbo ulitolewa nchinio Ujerumani mnamo tar. 31 Oktoba 2008.[5]

Muziki wa video hariri

Muziki wa video wa "Run the Show" uliomshirikisha Busta Rhymes umeanza kuoneshwa siku ya Alhamisi, 13 Machi 2008 kwenye tovuti yake, wakati video iliyomshirikisha Don Omar ulianza kuoneshwa mnamo siku ya Ijumaa, 21 Machi 2008 katika Mun2 kwenye Pepsi Musica. Video zote mbili zilioongozwa na Ray Kay.

Toleo la single (akim. Busta Rhymes) Toleo Kihispania (akim. Don Omar) DJ Reis Remix (akish. Lil Wayne na Birdman)

Historia ya kutolewa hariri

Nchi Tarehe ya Kutolewa Muundo
Marekani Januari 15, 2008 (2008-01-15) Radio Airplay
Februari 5, 2008 (2008-02-05) Digital download
Machi 14, 2008 (2008-03-14) Toleo la Kihispania
Ufaransa Aprili 21, 2008 (2008-04-21)
Ujerumani Oktoba 31, 2008 (2008-10-31)

Chati hariri

Chati (2008) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Bubbling Under Hot 100 Singles 17 [6]
U.S. Billboard Hot Dance Club Play 2 [7]
U.S. Billboard Pop 100 63 [7]
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 99
Belgium Flanders Chart[8] 5
Belgium Wallonia Chart[9] 5
Finnish Single Chart[10] 2
French Singles Chart 6
German Singles Chart 72
Irish Single Chart[11] 26
Romanian Singles Chart[12] 8
Swedish Singles Chart 18
Swiss Singles Chart[13] 29
UK Singles Chart[14] 11

Chati za mwisho wa mwaka hariri

Mwaka Nchi Chati Nafasi
2008 Ufaransa Singleza Mwisho wa Mwaka za SNEP 28[15]
Ubelgiji Belgian Ultratop 100 Of 2008 32[16]

Marejeo hariri