Rustiko wa Paris alikuwa Mkristo wa karne ya 3.

Kifodini cha Mt. Denis na wenzake, Basilika la Mt. Denis.

Akiwa shemasi huko Paris (Ufaransa) aliuawa pamoja na askofu Denis na padri Eleutherius kwa kukatwa kichwa kwa sababu ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Oktoba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Marejeo mengine hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.