Ruwa ni mji wa Zimbabwe, katika mkoa wa Mashonaland Mashariki.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa kuwa 94,000[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ruwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.