Sabah Khodir

Mshairi na mwanaharakati wa Misri-Marekani

Sabah Khodir (alizaliwa 1991) ni mshairi na mwanaharakati wa Misri huko Amerika.

Maisha hariri

Khodir ni muhitimu katika chuo kikuu cha Phoenix. Mnamo mwaka 2015 yeye na Mohammed Kassem walianzisha na kuiendeleza jumuia ya sanaa kwa wasanii wa mashariki ya kati.[1]

Marejeo hariri

  1. Rayana Khalaf (2017-10-10). "Meet the Egyptian poet liberating Arab artists one post at a time". StepFeed (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-07.