Sabina wa Roma
Sabina wa Roma (alifariki Roma, 126 hivi) alikuwa mwanamke wa ukoo bora wa Roma ya Kale aliyeolewa bado kijana sana na seneta Valentinus. Kisha kujiunga na Kanisa, alikatwa kichwa kwa hilo.
Yangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini[1][2].
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
- ↑ "Archived copy". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-10-17. Iliwekwa mnamo 2014-12-01. Unknown parameter
|url-status=
ignored (help) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91096
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |