Sadney Urikhob
Sadney Urikhob (alizaliwa 19 Januari 1992) ni mchezaji wa soka ambaye anacheza katika ligi kuu ya Tanzania katika klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Namibia.
Kazi ya klabu hariri
Polisi Tero FC hariri
Mnamo Julai mwaka 2017, ilithibitishwa kuwa amesajiliwa kwa mkataba wa miezi 18 katika klabu mpya ya Polisi Tero F.C. katika Ligi ya Thai 1,huko thailand baada ya kuondoka katika klabu ya Super Power FC.
PSMS Medan hariri
Mnamo tarehe 26 Desemba mwaka2017, Sadney alisaini mkataba na klabu ya Indonesian Liga 1 PSMS Medan kwa uhamisho wa bure nchini indonesia.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sadney Urikhob kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |