Sakiko Ikeda (alizaliwa 8 Septemba 1992) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani. Sakiko anacheza kama golikipa wa timu ya taifa ya Japan na klabu ya wanawake ya Urawa Reds.[1][2]

Marejeo hariri

  1. "Urawa Reds". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-30. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. FIFA
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sakiko Ikeda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.