Cheikh Salim Fergani (amezaliwa 1953 Constantine,Algeria) ni mchezaji na mwimbaji wa Algeria.

Kazi hariri

Salim Fergani ni mwigizaji mashuhuri wa muziki wa ma'luf, na amerekodi CD mbalimbali za lebo ya Pneuma ya Eduardo Paniagua[1].Ni mtoto wa mwanamuziki wa Algeria Mohamed Tahar Fergani.[2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salim Fergani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.