Jessica Salomé di Iorio ni mwanasheria na mwamuzi wa mpira wa miguu wa nchini Argentina. [1] Alichaguliwa kama mwamuzi wa mchuano ya Copa Libertadores de Fútbol Femenino 2009 [2] na mashindano ya Olimpiki ya wanawake 2012 . [3]

Aliwahi kuwa mwamuzi katika Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake 2015. [4] [5] Pia ndiye mwanamke pekee ambaye amechezesha katika ligi ya Primera Division ya Argentina . [2]

Marejeo hariri

  1. Jorge Salcedo. "Salomé Di Iorio, "el arbitraje una vocación"" (kwa Spanish). Revista Árbitros. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-01-02. Iliwekwa mnamo 2010-12-15. 
  2. 2.0 2.1 "Justicia y belleza: Salomé Di Iorio, una pionera en el arbitraje argentino", 2010-12-07. Retrieved on 2010-12-15. (Spanish) Archived from the original on 2010-12-10. 
  3. "Olympic Football Tournament London 2012 – Appointments of Match Officials" (PDF). FIFA.com. Fédération Internationale de Football Association. 19 April 2012. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo May 13, 2012. Iliwekwa mnamo 19 April 2012.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  4. "22 referees, 7 support referees and 44 assistant referees appointed for FIFA Women’s World Cup 2015™". FIFA.com. 30 March 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 31, 2015.  Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  5. "Referees and Assistant Referees for the FIFA Women’s World Cup Canada 2015™". FIFA.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo April 2, 2015.  Check date values in: |archivedate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salomé di Iorio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.