Salum Swedi

Mchezaji wa Tanzania

Salum Swedi (3 Desemba 1980) ni mchezaji mstaafu wa mpira wa miguu nchini Tanzania.

Amecheza michezo ya kimataifa kupitia timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars.[1]

Tarehe 19 Februari 2010 alitangaza rasmi kuachana na mchezo wa soka[2].

Marejeo hariri

  1. Salum Swedi at National-Football-Teams.com
  2. [1]
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salum Swedi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.