Sambasa Nzeribe

Muigizaji,mwanamitindo na mbunifu wa nchini Nigeria

Sambasa Nzeribe ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa Nigeria mzaliwa wa jimbo la Anambra.

Sambasa Nzeribe
Amezaliwa jimbo la Anambra, Nigeria
Kazi yake mwigizaji na mwanamitindo

Ameshirikishwa katika filamu mbalimbali ambazo zilikuwa na mafanikio makubwa ikiwemo A Mile from Home] ya mwaka 2013, Out of Luck (2015), Just Not Married (2015),[1][2] A Soldier's Story (2015 film) (2015),[3] Hotel Choco (2015),The Wedding Party (2016), The Island (2018), na Slow Country (film) (2018) ,[4] Elevator Baby (2019), Kasala (2018) and The Ghost and the Tout (2018).[5][6][7] Mwaka 2016 alishinda tuzo ya Africa Magic Viewers' Choice Awards (AMVCA) kama muigizaji bora..[8][9][10]

Filamu hariri

  • A Mile from Home (2013)
  • Out of Luck (2015 film)
  • Just Not Married (2015)
  • A Soldier's Story (2015 film)
  • Hotel Choco (2015)
  • The Wedding Party (2016 film)
  • The Island (2018)
  • Slow Country (film)| (2018)
  • Elevator Baby (2019)
  • Kasala (film) (2018)
  • Coming From Insanity (2018)
  • The Ghost and the Tout (2018)
  • Four Crooks And A Rookie (2011)

Marejeo hariri

  1. ""Just Not Married," Ijeoma Grace Agu, Muyiwa Ademola among winners". pulse.ng. 31 October 2016. Iliwekwa mnamo 4 November 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Artistes gather for Just Not Married premiere". The Nation Newspaper. 10 May 2016. Iliwekwa mnamo 4 November 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "A Soldier Story: New Film Set To Hit Up The Nigerian Screen – >>Best Of Nollywood". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-04. Iliwekwa mnamo 4 November 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  4. funtaqa (28 September 2016). "New Movie Trailer: “SLOW COUNTRY” by Eric Aghimien". funtaqa. Iliwekwa mnamo 4 November 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  5. "Five highest grossing Nollywood movies so far in 2018". TheCable Lifestyle. 15 November 2018. Iliwekwa mnamo 4 November 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  6. "MYFILMHOUSE". myfilmhouse.ng. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-10-29. Iliwekwa mnamo 4 November 2019.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  7. "Watch Toyin Aimakhu, Chioma Chukwuka, Chiwetalu Agu, Sambasa Nzeribe in trailer". pulse.ng. 10 April 2018. Iliwekwa mnamo 4 November 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  8. "Joseph Benjamin, Faithia Balogun, Sambasa Nzeribe among winners". pulse.ng. 6 September 2016. Iliwekwa mnamo 4 November 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  9. Kareem, Tolu. "Eric Aghimien's Award Winning "Slow Country" To Premiere in May | Xplorenollywood". Iliwekwa mnamo 4 November 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  10. "Sambasa Nzeribe". IMDb. Iliwekwa mnamo 6 November 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sambasa Nzeribe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.